Kitovu cha rasilimali
Taasisi yetu inawezesha ufikiaji wa rasilimali kwa uwazi na urahisi kama vile vifaa vya elimu, na mwongozo wa kushughulikia masuala yanayohusiana na upotevu wa watoto. Kwa kushirikisha njia bora na ufahamu wetu kutokana na tunayoyashuhudia kipindi cha kutekeleza majukumu, tunajitahidi kuwawezesha watu binafsi na mashirika kuchukua hatua za muhimu na kusaidia watoto na familia zao.
Iwe unatafuta kuhusika, maarifa, au habari, rasilimali zetu ni zana muhimu katika kulinda watoto wanaohitaji ulinzi zaidi katika jamii yetu.
Machapisho:
- The Sabasaba International Trade Fair Project (496 KB)
- Wapo Wapi Foundation Profile (1 MB)
- Wapo Wapi APP Case Study (7.2 MB)
- Photo Distribution Framework (254 KB)
- Rapid Emergency Child Alert System (225 KB)
- Model Missing Child Framework (262 KB)
- Wapo Wapi Foundation Constitution (2.5 MB)
- The Code of Ethics and Conduct (175 KB)