Kitovu cha rasilimali

Taasisi yetu inawezesha ufikiaji wa rasilimali kwa uwazi na urahisi kama vile vifaa vya elimu, na mwongozo wa kushughulikia masuala yanayohusiana na upotevu wa watoto. Kwa kushirikisha njia bora na ufahamu wetu kutokana na tunayoyashuhudia kipindi cha kutekeleza majukumu, tunajitahidi kuwawezesha watu binafsi na mashirika kuchukua hatua za muhimu na kusaidia watoto na familia zao.

Iwe unatafuta kuhusika, maarifa, au habari, rasilimali zetu ni zana muhimu katika kulinda watoto wanaohitaji ulinzi zaidi katika jamii yetu.

Dondoo Muhimu Kwa Wazazi Na Walezi Watarajiwa

Lugha : Swahili

Muundo : PDF

Chapisho No.1 La Mitandao Wa Jamii

Lugha : Swahili

Muundo : JPG