Dondoo muhimu sana kwa wazazi na walezi watarajiwa
Zifuatazo ni dondoo 8 za msingi kwa wazazi, walezi ama watalajiwa katika kuimalisha na kudumisha malezi bora kwa mtoto. Kila wakati mwanao anapoenda kucheza na wenzake, hakikisha unafuatilia kujua wanacheza nini, siku hizi hata watoto wanafundishana michezo michafu.